Naomba kueleweshwa kuhusu mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba/jiko

Kitumburee

Senior Member
Jan 31, 2012
139
88
Nawasalimu wakuu.

Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni.

Hii imekaaje wadau, mwenye kuielewa zaidi atufafanulie.
 
Hayo ni majiko yenye gesi na umeme kwa pamoja, ikiwa hivyo inashauriwa gesi kutokaa ndani kabisa sababu ikitokea majanga ya moto ni hatari sana kama gesi pamoja na jiko la umeme yamekaa pamoja.
 
Labda inategemea na size gani ya mtungi utatumia....!


Inategemea labda na sheria za nchi... lakini inawezekana, ila kwa bongo sijui utakuwa unaujaze huu mtungi....
1646534692901.png
 
sasa ukiweka mtungi nje halafu litokee la kutokea utazimaje gesi papo kwa papo?.si utaunguza kila kitu?.
 
Back
Top Bottom