naomba jamani naomba.....

naomba jamani naomba.....

Afu wewe nakuonaga uko kama mfugo wa moshi hivi (kitimoto). Nahisi unachunika kwa maji ya moto tu, unalika hadi ngozi hahaha. Sipati picha enzi zangu ningeingia msituni na wewe?

Mbona mwisho wa manenoyo kuna quiz mark ?
Yaani tena unauliza?
Tungegoo tu pori, kioja kiko wapi ?
 
Husninyo lile ni jukwaa la watakatifu au watakavitu? Just curious.

Mkuu Arushaone pliiiz! Naomba makwesheni yako kwake yapitie kwangu, ntamjibia msimchoshe mgonjwa!
Ako kwa bedrest right time!
Si umeona kesha declear hajijui kama ndiyo yeye! Hajijui hata gender yake! Kama ni Ke au Me!
 
Last edited by a moderator:
@%$#*^~_)(@#$%&*%$#@
@#$%&^*()_~@#!!!%%^^@%$%
!@@!!!!!@####$$%^&^^%$#&&

Emeeeen.
 
kutokana na kubanwa kuliko pitiliza hadi najisahau kama mimi ni mtu au binadamu...., najisahau kama naishi kwa wala vumbi au wabeba box, yaani najisahau kama mimi ni ke au me.... najisahau kama husninyo ni id yangu ya jeiefu au ya twiraaa,...... najisahau kama mimi ni mkristo au muislam..... yaani najisahau kama sahz natakiwa kuwa nimelala au nipo macho......





naombeni MAOMBI. niombeeni jamani.

copy: The Finest......sos save our soul...husn anahitaji msaada wa haraka (kumbuka sadaka mlikwapua wote...).
copy: Michelle .....hii post naomba ui forward kwa..............
 
Last edited by a moderator:
copy: The Finest......sos save our soul...husn anahitaji msaada wa haraka (kumbuka sadaka mlikwapua wote...).
copy: Michelle .....hii post naomba ui forward kwa..............

we kibabu huniachi niheme mtoto wa mzee mwenzio!!!! khaa. copy@kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom