naomba jamani naomba.....

naomba jamani naomba.....

haya....1....2....3...
Baba Yetu uliye mbinguni,Jina lako litukuzwe;Ufalme wako ufike,Utakalo lifanyike Duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku,Utusamehe makosa yetu,Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.Usitutie katika kishawishi,Lakini utuopoe maovuni.

semaa Amina.
 
Back
Top Bottom