naomba jamani naomba.....

naomba jamani naomba.....

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,342
Reaction score
10,688
kutokana na kubanwa kuliko pitiliza hadi najisahau kama mimi ni mtu au binadamu...., najisahau kama naishi kwa wala vumbi au wabeba box, yaani najisahau kama mimi ni ke au me.... najisahau kama husninyo ni id yangu ya jeiefu au ya twiraaa,...... najisahau kama mimi ni mkristo au muislam..... yaani najisahau kama sahz natakiwa kuwa nimelala au nipo macho......





naombeni MAOMBI. niombeeni jamani.
 
Unamatatizo bila shaka,
na hii ni kutokana na mpangilio wa matukio.
 
Umeshatoa sadaka ya nabii? Nitumie fasta kwa western union ama mpesa nianze kushandaraizi
 
Umeshatoa sadaka ya nabii? Nitumie fasta kwa western union ama mpesa nianze kushandaraizi

aaahh mkwe kwani mibyuzi imeisha hadi tunaanza kuchunana wenyewe kwa wenyewe!!!!! khaaa
 
Haya ukalale sasa...

Majomba! Punguza basi limkwalah!
Huoni watufukuzia mtu? Majomba yafaa wewe ndiyo ukalale utuachie mtu, sie wengine tuna usongo wa kumfanyia maombi, duwaa na mengineyo!
 
shkamoo ankal...we mbona hujalala? au aunt AshaDii anakupigisha story?

Ex wangu mambo? Nilishajua zamani kwamba ipo siku utapatwa na tatizo hili.
Maskini kumbe hukuwa na habari dawa ya tiba yako uliisahau kwangu ktk masiku yaleeee!
Utazunguka sana Kusi na Kaskazi ni mie tu, ntakaekutibu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom