Sawa nakutumiaNimeshakutumia
Ndimu..Kwa kukamulia nini?
Nitumie no yako utatumiwa zote..hiyo ya coke studio na yenyeweHaaa lol Kama unao nitumie plz
Sina Ila Kuna mdau hapo juu anao m PM atakutumia.Wimbo mzuri Sana huu.Kama unao naomba unitumie.
Khee???mbona cjaona no yako..basi iweke hapa!!Wewe mtu wa tano unasema nikupm namba unitumie na kunitumia hamtumi. Lol???
Usijali..utatumiwa!!nasisitiza tena..utatumiwa!!Hapa siwezi kuiweka. Nakutumia PM na unitumie usije ukasingizia network Kama mwenzio.