Naomba huu wimbo kama unao (Flaviana & Flavour)

Lol nyie watu ni shiiida Ina maana mnadanganya wimbo wenyewe hamna???
 
Flavour&Juliana-ololufe/haturudi nyuma ....mash up waliofanya coke studio.
Nauoenda Sana maana wameimba kihisia Sana.
Natanguliza shukrani.

Kama unatumia simu ya android basi fungua page ya Google halafu tafuta snaptube. Hi ni application ambayo utaitumia ku download nyimbo (audio,videos) toka YouTube kwa raha zako. Haipatikani Google playstore. All the best.
 
Shukrani
 
ok kwa yeyote alieuona wimbo anaoupenda youtube na hajui atadownload vipi afate steps hizi

ukishaingia youtube kwenye browser yako,search jina la wimbo the uclick.. kabla ya kuanza ku Play,

pale juu ya browser kwenye - YouTube.......

ongeza herufi hizi "ss" kama ifuatavyo

www.ssyoutube.com/....

yani baada ya www. ongezea ss baas then acha link yote kama ilivo kisha bofya

ok baada ya kiedit hivo, itatokea page itayokupa list ya quality unayotaka kudownload kisha bofya na itaanza.

NB hakikisha unatumia browsers kama UC BROWSER,operamini & etc na sio ile application ya youtube maana inaficha link.
 
Back
Top Bottom