OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,187
- 24,144
Sasa wewe uko kannada mimi nipo bongo nakupaje coneksheniYani wabongo ndo tatizo letu maswali juu ya maswali , unaanza kupata w/Permitt kwanza ndo utafute kazi. Nimeingia kwa njia halali tu, wewe lete connection za ajira huku kunajika tu ukiamua.