Naomba connection ya ajira Canada

Naomba connection ya ajira Canada

Mkuu Boli linatembea tueleze ulipataje work permit bila kuwa na ajira huko mambele? Na umefikaje hapo kannada? Je ulizamia? Ulipata mwaliko? Ni mwanafunzi? Au umepata sponsor sasa amekuacha kwenye mataa
Yani wabongo ndo tatizo letu maswali juu ya maswali , unaanza kupata w/Permitt kwanza ndo utafute kazi. Nimeingia kwa njia halali tu, wewe lete connection za ajira huku kunajika tu ukiamua.
 
Salaam wana JF,

Mada hapo juu yahusika, mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa Canada Toronto, ajira ni ngumu kweli kweli na hata matapeli wamejaa usipokuwa makini unalizwa kweupe

Kama kuna mtu anaweza kutoa support please help au hata ushauri nini kifanyike, open work permitt ninayo. Suala ni ajira ipatikane nikusanye maokoto.

Ahsante!!
Jishikishe na kazi za kusave chips kabab nyama nk kwa wahindi mitaani hapo jioni wanatoa dollar 15 kwa saa,nenda mahotelini kaombe kazi za dish worsher,au bandarini kwenye mameli,au kwenye kazi za ujenzi
 
Kuna nchi hawazamii kihivyo unavyofikilia. Labda kama umelala ukaota upo Canada. Kwa anaejua maana ya Work permit, akasoma ulichoandika,haviendani. Kwa hiyo, mada yako,
Ila kama unatamani tu kwenda,ntakupa link, siku zikitokea kazi,maombi yako yanapitiwa,ukikidhi vigezo,utachukuliwa na kugharamiwa kila kitu. Kikubwa tu usiwe mzembe.
Hiyo permit hutolewa tu unapokuwa umepata kazi na mwajili anajulikana,na huwezi acha kazi kijinga hivo eti utakaa. Huko siyo Bongo. Au ulitaka tujue tu kwamba unapandaga ndege
Tunaomba iyo link mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom