Naomba connection ya ajira Canada

Naomba connection ya ajira Canada

Boli linatembea

Senior Member
Joined
Dec 21, 2022
Posts
115
Reaction score
333
Salaam Wana JF

Mimi ni MTZ mwenzenu naombeni connection za ajira tayari Niko Canada ila ajira ni ngumu kweli kweli, na Kuna mpaka matapeli usipokua makini utalia mambo yanayozungumzwa nyumbani sivyo yalivyo kabisa. Mambo tight kweli na watu wa mataifa wamejaa. Work Permit ninayo.

Natunguliza shukrani.
 
Salaam wana JF,

Mada hapo juu yahusika, mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa Canada Toronto, ajira ni ngumu kweli kweli na hata matapeli wamejaa usipokuwa makini unalizwa kweupe

Kama kuna mtu anaweza kutoa support please help au hata ushauri nini kifanyike, open work permitt ninayo. Suala ni ajira ipatikane nikusanye maokoto.

Ahsante!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom