Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Zamia Kenya huko pitia mpaka wa Sirari ndio rahisi, ukifika pale Sirari upande wa Kenya huwa kuna Nissan dizaini ya Hiace huwa zinapiga routi mpaka Kisumu, Nairobi ama Kisii. Sasa hapo chagua uende wapi, ukienda Kisumu uache ujuaji wa huku Tanzania maana kule ni jamii ya wajaruo wa Kenya na wakurya wa Kenya kidogo. Ukileta ujuaji kule unapasuliwa kuwa makini sana kule. Ama uende Kissi, Kissi ni kama Mwanza ukiwa kule la sivyo ujilipue mpaka Nairobi hayo majiji matatu huwezi kosa cha kufanya. Muhimu usiwe mjuaji kwenye nchi ya watu wengine, mimi nimekaa sehemu zote hizo tatu na nimeishi huko bila shida yoyote ile, ila jiepushe sana na wajaruo wa huko wale ukizingua wanakutoa utumbo.
Ndio niko kwenye mchakato wa kuipata mkuu.