Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

Mkuu maisha ni ku take risk kama kuna ukweli kwenye hilo sio mbaya.
Vijana wa Kenya na Malawi wanajiandikisha kwenda Israeli kwenye kilimo na mshahara mnono, wewe unataka kwenda huko wakati wenyenchi wamekimbia! Nenda ubalozi wa Israeli kajiandikishe, changamka.
 
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.

Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.

Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.

Kwa Wale Munaopenda kwenda kuishi Amerika Sikilezeni Hiyo Video Mupate kujifunza kitu Muhi,mu sana.​

View:
 
Mkuu sijawahi kuwa shabiki wa siasa
Haukuna kuhama na nikikubaini upo mpakani nakurudisha. Kwenye kampeni nyie ndo mlikuwa mnaishabikia CCM Sasa tuisome namba pamoja, hakuna kuhama.
 
Mkuu maisha ni ku take risk kama kuna ukweli kwenye hilo sio mbaya.
Ukweli upo na ubalozi wa Israel upo na nchi nilizozitaja tayari zimepelek vijana huko, ungekua unafuatilia taarifa za habari badala ya bongomuvi ungezipata habari hizi Azam tv kwenye nchi nilizozitaja.
 
Shukrani sana kwa ushauri wako ndugu, hii Tanzania ni wachache sana wananemeeka nayo tu. Wengine sisi nikama wasindikizaji ndio maana nataka kutika, mkuu kama una connection huko Uarabuni naomba tafadhali. Nielekeze tu nifanye nini ili niwe tayari kisha nijilipue.
Kwanza gamba unalo?
 
Kama hzio nchi Bora ubakie bongo ulime mihogo utatoka tu
 
Pengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.

Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.

Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.

Kila jema mzee baba katika utafutaji.
naomba connection hiyo mkuu
 
David Livingstone alikuja hamjui mtu yeyote na anajua lugha ya kwao tu, alithubutu na alikuja akapokelewa na watu ukizingatia enzi hizo kila kichaka kilikuwa na mnyama au nyoka mkali, hawakumtamani. Huyu naye akijichanganya vizuri atampata msamaria mwema safarini ambaye atamhifadhi kwa muda.
 
Huyo livingstone alikua na hela za kujikimu lakini.
 
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.

Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.

Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
Umechagua nchi za tafrani tupu, nenda mazima mkuu, utuache salama.
 
Maisha huwa ni popote mkuu, hizo nchi ulizotaja unaweza kwenda hapo ukaja kufanikiwa katika maisha yako, ijapokuwa watu watakukatisha tamaa kwakukumbia ni bora ubaki nyumbani, wewe sikiliza moyo wako vile unavyotaka

Mipaka ya mafanikio ni akili yako ndio inajiwekea mwenyewe, wewe toka hapo nenda popote dunia, kila mahali ni salama pakuishi kama ukiamua kuishi kiusalama

South Africa wabongo walioko humu wanasema sio salama kuishi na kibiashara, waulize je wanafanya shuhuli za kiusalama na kihalali? Hili jibu hawawezi kukupa..

"Mummy need house baby need shoes"
✅👏👏👏
 
Back
Top Bottom