Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

David Livingstone alikuja hamjui mtu yeyote na anajua lugha ya kwao tu, alithubutu na alikuja akapokelewa na watu ukizingatia enzi hizo kila kichaka kilikuwa na mnyama au nyoka mkali, hawakumtamani. Huyu naye akijichanganya vizuri atampata msamaria mwema safarini ambaye atamhifadhi kwa muda.
✅🙏
 
Mkuu shukrani sana kwa maneno yako mazuri, mkuu we uko south?
Niko south napambana, wakati nakuja huku niliusikiliza moyo wangu vile unavyoniambia, ijapokuwa 90% walinishauri nisije huku, ndugu zangu waliniambia hiyo nauli kwanini usifungue biashara bongo ya mtaji huo, lakini sikuwasikiliza maana lengo langu lilikuwa kutimiza haja ya moyo wangu hata kwakufeli,

Lakini ningejua nilifeli ya kujaribu mwenyewe na sii kufeli kwa kikatishwa tamaa ya maneno ya watu

Aliyeniambia hiyo hela nifungue nayo biashara nikipiga income yake ya wiki haikuti hii nayoingiza kwa sasa

"Mummy need house baby need shoes"
 
Hongera sana ndugu, muda mwingine ni vyema zaidi kuchukua maamuzi binafsi bila kuangalia nani anasema nini. Kwahiyo mkuu huko kuna madili kama mtu akijichanga kuja?
Niko south napambana, wakati nakuja huku niliusikiliza moyo wangu vile unavyoniambia, ijapokuwa 90% walinishauri nisije huku, ndugu zangu waliniambia hiyo nauli kwanini usifungue biashara bongo ya mtaji huo, lakini sikuwasikiliza maana lengo langu lilikuwa kutimiza haja ya moyo wangu hata kwakufeli,

Lakini ningejua nilifeli ya kujaribu mwenyewe na sii kufeli kwa kikatishwa tamaa ya maneno ya watu

Aliyeniambia hiyo hela nifungue nayo biashara nikipiga income yake ya wiki haikuti hii nayoingiza kwa sasa

"Mummy need house baby need shoes"
 
Huko ulikokutaja ni afadhali ya Tanzania. Tena huko utakuwa umeongeza tatizo lingine kubwa la kila siku kuwaogopa polisi. Popote watakapokuona watakuuliza vibali vya kuishi. Ni kweli panatia hasira,lakini bora kuendelea kukomaa hapa hapa. Vinginevyo ungeomba connection za ulaya, kama nchi za Scandinavia pale, Canada hivi,huko fursa kibao kazi za kufanya zipo. Lakini hizo nchi ulizotaja nao wanatamani kuja bongo.

Vinginevyo omba connection ya kujiunga na waasi DRC. Huko mstuni utakutana na madini kama dhahabu na madini ya vito green tomaline,rubi,green garnet. Lakini kutoka nayo sasa ndio Ngoma inapoanzia
 
Una Paspoti? Sio picha, namaanisha Paspoti ya kusafiria.
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.

Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.

Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
 
Ndio maana nikawa wazi kupokea na ushauri wa sehemu nyingine mkuu, kama una connection huko naomba tafadhali.
Huko ulikokutaja ni afadhali ya Tanzania. Tena huko utakuwa umeongeza tatizo lingine kubwa la kila siku kuwaogopa polisi. Popote watakapokuona watakuuliza vibali vya kuishi. Ni kweli panatia hasira,lakini bora kuendelea kukomaa hapa hapa. Vinginevyo ungeomba connection za ulaya, kama nchi za Scandinavia pale, Canada hivi,huko fursa kibao kazi za kufanya zipo. Lakini hizo nchi ulizotaja nao wanatamani kuja bongo.

Vinginevyo omba connection ya kujiunga na waasi DRC. Huko mstuni utakutana na madini kama dhahabu na madini ya vito green tomaline,rubi,green garnet. Lakini kutoka nayo sasa ndio Ngoma inapoanzia
 
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.

Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.

Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
Nenda Korea ya Kaskazini, itapendeza zaidi.
 
Mkuu niko Dar es Salaam kwa sasa.
 
Naona kuna mabishano tu
 
Back
Top Bottom