Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
- Thread starter
-
- #21
hizi nazijua kakaBaada ya kujifunza beat. Unatakiwa kujifunza "NOTE"
Kwenye standard music zipo Note 12
A,B,C,D,E,F,G hizo ni saba. Na kuna Sharp Note (#) ambazo zipo tano. Jumla 12
hapa kwenye combination naomba unifundisheKisha unatakiwa ujifunze Combinations ya keys kwenye keyboard.
Anza na Do, Re, Mi, Fa, So, La, Ti.
Kwenye Piano(Keyboard) Key iliyo rahisi sana ni C.
Hiyo inahusisha key zote nyeupe kwenye Major key bila kugusa Keys Nyeusi.
haana pajua kaka i know how to play pianoKwa mfano root ya C ni kugusa combination ya C+E+G
(C+E+G) Then (C+F+A) Then (C+E+G) Then (A+D+G) One round for simple 4/4
i know major chords,minor chords and harmonic chordsKama unataka shule hiyo hapo ni mwanzo wa music. Basis baadae utajifunza minor, suspended chord, diminished chord piano nk. Na wakati gani kupiga na wapi. then utaona namna gani music ulivyo mtamu.
wewe ni hatariiiiiii hapa umenifundisha kitu kikubwa saaaaaaanaMajor Key 4/4 C sample
But kwanini umetengeza music ya namna hiyo? Kama unajua mambo hayo usingeweza kwenda off key.i know major chords,minor chords and harmonic chords
hivi kaka ni lazima kick and snare kutumia scale sawa mfano 4/4Major Key 4/4 C sample
nahisi composing ndio shidaBut kwanini umetengeza music ya namna hiyo? Kama unajua mambo hayo usingeweza kwenda off key.
hapo kwenye mambo ya timing naponi shida please naomba lecture about keys timingKama unataka shule hiyo hapo ni mwanzo wa music. Basis baadae utajifunza minor, suspended chord, diminished chord piano nk. Na wakati gani kupiga na wapi. then utaona namna gani music ulivyo mtamu.
Hapo nimekuonesha mfano tu wa 4/4. But kuna namna nyingi tu ya kupiga beat.hivi kaka ni lazima kick and snare kutumia scale sawa mfano 4/4
good kwenye hiphop naona wanatumia saana octave yaani only one finger not major or minor or et ceteraHapo nimekuonesha mfano tu wa 4/4. But kuna namna nyingi tu ya kupiga beat.
Check 4/4 Sample only major with simple base
Sasa hizo ni basics tu. Sasa tukienda ndani zaidi ndio utasikia radha ya music ulivyo mtamu. Hapo nimekutengenezea beat ya haraka haraka. Ukiaka full beat lazima uwe unajua note, jifunze note utafurahia muzikigood kwenye hiphop naona wanatumia saana octave yaani only one finger not major or minor or et cetera
yeah nafahamu kutoka chini kwenda juu pitch inaongezea wanaita sharp right hand ni sharp au clef afu left hand ni bassSasa hizo ni basics tu. Sasa tukienda ndani zaidi ndio utasikia radha ya music ulivyo mtamu. Hapo nimekutengenezea beat ya haraka haraka. Ukiaka full beat lazima uwe unajua note, jifunze note utafurahia muziki
samples zanguSasa hizo ni basics tu. Sasa tukienda ndani zaidi ndio utasikia radha ya music ulivyo mtamu. Hapo nimekutengenezea beat ya haraka haraka. Ukiaka full beat lazima uwe unajua note, jifunze note utafurahia muziki