Naogopa kifo

Naogopa kifo

Habari wana JF,

Mimi naogopa kifo sana,maana ukijiangalia ki sawa sawa huwezi amini kama siku moja utazikwa na kulaliwa na kifusi cha udongo.

Kwa kweli najuta sijui kwanini nilizaliwa? Nawakati unajua kuwa nitafariki na kuzikwa?

Eeee Mungu mimi naomba nisife! Nakuomba sana Mungu uniepushe na hili.

Mimi naendelea kuomba, Leo nimejifungia siku ya tatu ndani ya chumba changu naomba kufa na kupona, sili chakula wala nini namlilia Mungu mpaka nikwepe kifo.

Jamani epukeni dhambi tuungane pamoja.

Siku njema.
je, umejua kwanini unaogopa kufaa? Shetani anakutisha. Lakini la msingi ni kutojua baada ya kufa nini kinafuata. Njia ziko mbil moja kwenye uzima wa milele na njia mbili kwenda mbinguni na jehanamu ya moto ili usiogope omba kuokoka maana hatima yako itakuwa ni nzuri. Maombi yako ya kuepushwa na kifo hayawezekani kwakuwa ni njia ya Mungu kwa wanadamu wote.
 
Religion is just a feeling good therapy

Ukitaka faraja hata kama ni ya uongo,utapata

Kifo ndio mwisho wa mwanadamu

Hadithi za Mbingu na Motoni ni kujifariji
Kwa wale waaminio katika Mungu hawatakuelewa....mimi naamini katika Mungu lakini nakuelewa kwakuwa najua ni kwanini nimechagua kuamini katika uwepo wake
 
Habari wana JF,

Mimi naogopa kifo sana,maana ukijiangalia ki sawa sawa huwezi amini kama siku moja utazikwa na kulaliwa na kifusi cha udongo.

Kwa kweli najuta sijui kwanini nilizaliwa? Nawakati unajua kuwa nitafariki na kuzikwa?

Eeee Mungu mimi naomba nisife! Nakuomba sana Mungu uniepushe na hili.

Mimi naendelea kuomba, Leo nimejifungia siku ya tatu ndani ya chumba changu naomba kufa na kupona, sili chakula wala nini namlilia Mungu mpaka nikwepe kifo.

Jamani epukeni dhambi tuungane pamoja.

Siku njema.
Duu Weye balaa inamana hutaki kwenda peponi au hutaki kukutana Na aliye kuumba? Basi utakuwa mmoja wa hawa Watu tatu.
1) Wewe ni tajiri sana unaogopa utajiri wako wataufaidi ndugu zako ulio kuwa huwapendi.
2)mkuu au muheshimiwa Fulani hutaki kuachia madara.
3) mkubwa wa dini unaogopa utakwenda kuulizwa Haya kwanini ulichepuka Na wake za Watu.
Najuwa una siku nne unaomba endelea kuomba.
 
Kwa mungu hakuna muda sasa mungu anawezaje kupanga siku ya hukumu, wakati nje ya muda hakuna saa , siku wala juma au mwaka. Mungu hawezi kuumba kiumbe ili aje akihukumu ili hali yeye (Mungu) anajua weakness zote za kiumbe chake. Kwa hiyo Mungu kumhukumu kiumbe wake huyo ni kama haiwezekani ki-logic!
 
hata mm zaman nlikua naogopa sana kifo ila siku hizi walaa,,tena kuna wakati natamani kuifikia hiyo process mana naamin itakuwa bonge ya adventure
 
Ndugu unaogopa kifusi cha udongo wakati wezako waliotangulia hata huo udongo awajauona kuna watu wameteketea uko Angan
 
Hata mi naogopa kufa,sasa nikiona watu wanakufa najiuliza mimi ni nani hadi nisife,makaburi yanatisha ati tungekua tunazikwa kwenye nyumba Tu bila kufunikwa chochote ,mi majeneza siyapendi ,
Kuna siku niliumwa sana maralia ilinipeleka mapigo ya moyo kama Yanakata hivi halaf nguvu sina ,macho hayaoni vyema,nikaanza kusema yaan nakufa Leo hapana kufa sasa bado nahitaji kuishi,basi nilivyopona rafiki zangu wananitania,lakin naogopa kufa balaaa
 
Kwa mungu hakuna muda sasa mungu anawezaje kupanga siku ya hukumu, wakati nje ya muda hakuna saa , siku wala juma au mwaka. Mungu hawezi kuumba kiumbe ili aje akihukumu ili hali yeye (Mungu) anajua weakness zote za kiumbe chake. Kwa hiyo Mungu kumhukumu kiumbe wake huyo ni kama haiwezekani ki-logic!
Mkuu hii ni logic gani? Naona kama umemaliza kuchoma vile!!!!!
 
Kuishi ni Kristo kufa ni faida

mshana jr , kwa mtu anayemwamini Kristo haogopi kifo kamwe. Katika waanzilishi na waasisi wote niliowahi kuwasikia ni Yesu pekee ndie alieshinda kifo. Na kila anayemwamini kifo ni njia ya kubadili tu kutoka mwili uharibikao na kuvaa mwili wa milele usiokufa na usiokua na maumivu wala magonjwa. Ni ndani ya Kristo tu, tunaweza kuongea habari za kifo kwa ujasiri.

yalimo, hakuna haja ya kuogopa kifo, japo sio jambo jepesi. Maadam umezaliwa, kifo hakiepukiki, weka uhusiano wako vizuri na Mungu wako, hapo utakua na tumaini baada ya maisha ya hapa duniani. Hata kama ukiishi miaka 1000, utakufa tu.
 
Back
Top Bottom