rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 233
Habari wana JF,
Mimi naogopa kifo sana,maana ukijiangalia ki sawa sawa huwezi amini kama siku moja utazikwa na kulaliwa na kifusi cha udongo.
Kwa kweli najuta sijui kwanini nilizaliwa? Nawakati unajua kuwa nitafariki na kuzikwa?
Eeee Mungu mimi naomba nisife! Nakuomba sana Mungu uniepushe na hili.
Mimi naendelea kuomba, Leo nimejifungia siku ya tatu ndani ya chumba changu naomba kufa na kupona, sili chakula wala nini namlilia Mungu mpaka nikwepe kifo.
Jamani epukeni dhambi tuungane pamoja.
Siku njema.