Naogopa kifo

Naogopa kifo

wala usiogope,maana ukifa wala hutajua chochote kinachoondelea juu yaki;Ni kama vile unavyozaliwa kwa siku ya kwanza huelewi lolote linaloendelea,na kufa ni hivyo hivyo sema ukifa ogani zote mwilini zako zinakoma kufanya kazi
Tatizo ni kuwa hayo yanasemwa na watu ambao hawajawahi kufa.
 
Eti unasema umesusa na kula msosi kabisa!? Something is wrong!! Nashauri uende hospitali haraka kabla hujajinyonga na kukiwahi hicho kifo chenyewe
 
Back
Top Bottom