Wanasema tu kuwa ombeni nanyi mtapewa ila sio kweli. Hivyo haya maombi yako yatasubiri sanaaaHabari wana JF,
Mimi naogopa kifo sana,maana ukijiangalia ki sawa sawa huwezi amini kama siku moja utazikwa na kulaliwa na kifusi cha udongo.
Kwa kweli najuta sijui kwanini nilizaliwa? Nawakati unajua kuwa nitafariki na kuzikwa?
Eeee Mungu mimi naomba nisife! Nakuomba sana Mungu uniepushe na hili.
Mimi naendelea kuomba, Leo nimejifungia siku ya tatu ndani ya chumba changu naomba kufa na kupona, sili chakula wala nini namlilia Mungu mpaka nikwepe kifo.
Jamani epukeni dhambi tuungane pamoja.
Siku njema.
Barikiwa sana Samaritanmshana jr , kwa mtu anayemwamini Kristo haogopi kifo kamwe. Katika waanzilishi na waasisi wote niliowahi kuwasikia ni Yesu pekee ndie alieshinda kifo. Na kila anayemwamini kifo ni njia ya kubadili tu kutoka mwili uharibikao na kuvaa mwili wa milele usiokufa na usiokua na maumivu wala magonjwa. Ni ndani ya Kristo tu, tunaweza kuongea habari za kifo kwa ujasiri.
yalimo, hakuna haja ya kuogopa kifo, japo sio jambo jepesi. Maadam umezaliwa, kifo hakiepukiki, weka uhusiano wako vizuri na Mungu wako, hapo utakua na tumaini baada ya maisha ya hapa duniani. Hata kama ukiishi miaka 1000, utakufa tu.
umeandika nini hiki kaka?Kuishi ni Kristo kufa ni faida
Wenye imani ya kikristo na waaminio wanaelewaumeandika nini hiki kaka?
Hapa sasa ndo mnapokoroga mambo.Usipoteze muda ndugu yangu, kama ni kufa utakufa tu. Mwamini Yesu aliyeshinda kifo na mauti. Hata ukifa utaishi
Nakuogopea usije anza kuokota makopoYamkini nimeshaamini hakika Mungu ataniwezesha! ntaishi tu hakuna kinachoshindikana mbele za Mungu. hakika sitakufa ntaishi hata peponi.
Ok ngoja siku itapokunata....ndo utapojua kama ni therapy ama n8 hadithi....Religion is just a feeling good therapy
Ukitaka faraja hata kama ni ya uongo,utapata
Kifo ndio mwisho wa mwanadamu
Hadithi za Mbingu na Motoni ni kujifariji
umeongea mkuu.kumbe hata we neno linapanda?Kuishi ni Kristo kufa ni faida
hii nayo balaaawala usiogope,maana ukifa wala hutajua chochote kinachoondelea juu yaki;Ni kama vile unavyozaliwa kwa siku ya kwanza huelewi lolote linaloendelea,na kufa ni hivyo hivyo sema ukifa ogani zote mwilini zako zinakoma kufanya kazi