Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

Dr. Mwaka ndo vile tena anaitwa Mr. Mwaka siku hizi.

Jitahidi kula vyakula vyenye kujenga mwili , pia achana na hizi sembe zenu za mjini mkidhani ni maendeleo. Mwanaume halisi anakula dona.
Ajitahidi kubadilisha vyakula, na kufanya mazoezi sana, nilikua km we we lakini baada kuanza kula vyakula asilia sasa hivi natisha
 
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka kuendelea na tendo.

Japo nimejaribu kumshawishi anivumilia wakati natafuta njia za kutatua tatizo la kupiga bao moja ambalo hata dk 1 haishi wazungu walishatoka.

Wakuu kuna mzizi ambao naweza kutumia ili niheshimike kwa wife?
Usimlaumu kwa kukunyima bcoz hujui kero ya kuachwa na nyege hewani. Ongeza spidi kwenye kutafuta suluhisho la hilo kabla mama hajapata ushawishi wa kutafuta wa kumpandisha kitonga
 
Pendelea kula matunda kama parachichi, na tikiti maji au tengeneza hata juis. Pendelea kutafuna mihogo mibichi ile ile wanayotembezaga wamama kwenye mabeseni usiidharau hiyo wanajua kaz yake ndio maana wanaiuza, pendelea kutafuna karanga mbichi, pendelea kunywa maziwa freshi namamsapu apunguze kukupikia vyakula vyamafuta sana ila pendelea vyakula vyakawaida hasa mboga zamajani hasa kwamlo wamchana namboga hizo zpikwe kawaida sana zisiwe zinaiva mpaka zikapitiliza namafuta yacwe mengi sana. Fanya kama kamchezo ila matokeo yake nimakubwa sana ila yote yayote ucwe namsongo wamawazo. Kwahiyo jitathimini labda unamsongo wamawazo.
 
Tatizo lipo kwako ukitaka ufanikiwe hilo kwanza ondoa hofu maana kunabaadhi hupata tatizo hilo kutokana na hofu.
Yaaani kamailianza kutokea Mara ya kwanza na ya pili halafu mke akakukatisha tamaa kwa maneno akili hujijengea kua nikiingia tuu dakika1 tiari na we ukikubali hivyo hakika itakua hivyo
 
Utakuwa unapiga puri, lakini hata baada ya kumwaga huchua dk 3 au 4 uume kulala, sasa sijui kwako ikoje.
Vipi round ya pili unakwenda dk ngapi?
 
Pia inaezekana mwanamke ameshakuchoka kapata mkunwaji mwingine ndomanakwaupande wangu hua sipendi kuchepuka maana unaeza ukakutana na mtu anapiga kazi ukaona mumeo fala tuuuu bora nibaki njiakuuu kama nakosa utamu achaniukose tii
 
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka kuendelea na tendo.

Japo nimejaribu kumshawishi anivumilia wakati natafuta njia za kutatua tatizo la kupiga bao moja ambalo hata dk 1 haishi wazungu walishatoka.

Wakuu kuna mzizi ambao naweza kutumia ili niheshimike kwa wife?
moniccca ndo mkeo??
 
Kaka jitahidi sio maasala ya nguvu mbna zipo ila matayarisho ndio yapo hafifu mtayarishe sana alegee ndio uingie uwanjani utajipata munamaliza game pamoja nae pia awe mbunifu asome mwili wake ili akurahisishie kazi sio kila siku kulia lia kama kengele tu kaka usijilaumu kabsa hebu mwambie awe wazi na wewe anahitaji umguse wapi ndio iwe rahisi kwao
 
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka kuendelea na tendo.

Japo nimejaribu kumshawishi anivumilia wakati natafuta njia za kutatua tatizo la kupiga bao moja ambalo hata dk 1 haishi wazungu walishatoka.

Wakuu kuna mzizi ambao naweza kutumia ili niheshimike kwa wife?
Nitafute niokoe hiyo ndoa, ipo dawa unamkojoza kadri anavyotaka
 
We huoni kama humtendei haki mwenzio, mwache agome na mbunye yake tena usimsumbue mpaka utakapopata uzoefu wa kumbinua sawasawa
 
Back
Top Bottom