Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Naupenda huo na chukuchuku ya samaki mtamuu!!!!!Au uono ulokaushwa na nyanya,malimau na pilipili kisha ukapambiwa!!

hivi! mimi49 umeolewa?una mchumba? au uko single and free?
 
Last edited by a moderator:
Weweee muda wote nlikuwa natazama tu,sijalala Baba utauwawa bureee!!!

Hahahahahaah alafu kaka wetu full ulinzi...ajifanya kalala akiona wanataka kudoea tu huyo kaja...
Safiiiiiiii tena uje na bakora maana wengine vitangi lol
 
mimi49, nahisi kuna mtu ananichezea. quote yako siioni.

please do the needful..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom