Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hao ni mtu na dada kweli mkuu?

mkuu ndo wanavojinasibu, una wasi wasi wanachakachua? maana naona Sumu anazungumzia mabata sijui kanga wa kufugwa, mara mtaji huo huo amnunulie farkhina maji, basi ilimradi havieleweki au mi ndo sielewi
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu alinfungia huku woshrum,sijui ni nan....nkimkamata hana baati itang'ata kwake

Poa poa mi namalizia jioni yangu hapa leo ImageUploadedByJamiiForums1386398025.536772.jpg

Cc: Nambe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom