mosesnicolus
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 285
- 26
uje baadae ntakusimulia kitu bapa ilinifanyaga,ikawa mwisho wangu wa kunywa vilevi!
lilikufanya nn tena ? mwaga mambo utasinzia
uje baadae ntakusimulia kitu bapa ilinifanyaga,ikawa mwisho wangu wa kunywa vilevi!
leo nna hamu na ugali!!:x
Jamani mambo zenu....
Jamani mambo zenu....
lilikufanya nn tena ? mwaga mambo utasinzia
ugali na.....?
Jamani mambo zenu....
nzuri tu,habari zako zote?
Poa...
mbona kumepoza humu sana! hamna hoja za kuchangamsha?
Poa zetu mdada mzur karibu
kumenya gomba!
Vp leo utatega tena?
E..gomba ndo nn tena?