namkabidhi zamu billy...
Ntajitahido may be nitaweza
ataliweza lindo?....anazo silaha za jadi.za asili na za kisasa?..icje ikawa ana Linda Kwa "mitambo" MAALUMU ya kuzuia WEZI

Nashangaaa....saa hizi...anaaga
hata mi jamani sina usingizi tuungane kupiga story
Kila nikitaka kunyanyua mguu niondoke nashindwa..kuna mtu humu ndani kanifunga kamba!
Akuna kuondoka,,si umesema utakua mtazamaji wewe....sasa wataka kwenda wapi tena??
Anategea

Lala we boy a ulaluwe