nami siruhusiwi kuchagua pishi?
ukisikiwa na mwenyewe mie simo
usijali kwa kua we ni mgeni msosi utapata kama kawaida endelea kuserebuka usiogope kwani ulinzi upo wa kutosha jiachie.
Hiyo ya pili itawafaa kwa leo...ngoja wakuje
Valentina mwenzio naogopa natishiwa maisha hukuHaha haaaa...wewe usimtishie mwenzako bana
mwenyewe analala kama pono mwache mwenzako afaidi eti Honey Faith au ujui kuwa ana bastola kiunoni..
Heee nilikuwa cjuu kumbe mke wa mtu ila nina maziwa
Hahahaha we me muoga bwana naogopa wachawi ukitaka nilimbie niambie tena leo
Leo naserebuka kwa adabu kweli naona viroba hapa ila sigusi ng'o...manake j2 ile nlitupia kiroba nkaanza kusasambura kimbe Ngongoseke alikuwa anachungulia dirishani....leo full nidhamu
Hahaaaaa...we gusa uone balaa lake
uck mwema wapendwa...
nami siruhusiwi kuchagua pishi?
uck mwema wapendwa...