Nani yuko macho tupige stori?

Chinekeee siku ya kufa nyani leo...
Hawa Man U wamenifanya nihamie bar...
Eti nanilii kwani patrol washapita....
 
Mwenzangu walivyobamizwa kwa machungu mie nikavamia haka kabaa kako karibu na lindo......fastA nikaanza na viroba...sijui hata nilizimika saa ngapi...ndio naamka saa hizi full hangover....

Mwaka mgumu sana huu kwa Man U sijui itakuaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…