Nani yuko macho tupige stori?

Tunashkuru walinzi tumeongezeka siku hizi kwanza ilikuwa tabu@Jerrymsigwa haishi kupata wageni farkhina kutwa anasinzia lindoni,huyu mimi49 na valentine wao na simu zao za mchina kutwa vanga,na miduara,bora Jawilat haishi kwenda dukani kwa mpemba
he he he leo niimbe samaki....pole samaki pole....kwa wanavyokufanya...pole samaki pole wanakula mpaka kichwa....
 
jamani msione nimechelewa, nimebadilishiwa lindo na huyu mwenye nyumba alikuwa ananikabidhi ka kitabu ka sheria za ndani kwake. kama page 50 hivi. kazi vipi huko nyie hamjabadilishiwa malindo?. bily King'asti mimi49 Ngongoseke jawilat farkhina
 
Last edited by a moderator:
Jaman wachawi tena msifanye nikatupa lungu langu bure na kutoka nduki nawaogopaje hao watu
wenzako tunakuja lindoni huku gobore huku hirizi. ongea na Jawilat niliona anazo mbili
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…