Nani yuko macho tupige stori?

msalani saa nzima! mwenzko farkhina kesho analeta tambi, jichangechange na wewe ulete hata soda tuyamalize yasifike kwa@bily
Usijali ntaleta chai ya maziwa ilokolezwa tangawizi,iliki,mdalasini,karafuu na mchaichai ushushie hizo tambi zako!
 
Last edited by a moderator:
jamani wakuu net imekua tabu sana kwangu dah ntafukuzwa kazi kwa stahili hii hadi sasa mambo magumu sana farkhina mbona unanipa maharage jaman wakati nimeona kitamu hapa juu.

Kipi...😱😱😱😱😱
 
Last edited by a moderator:
mhhh hayo maharagwe yako twayala na nn mpendwa?mi nataka chapati!!naona leo msururu wa kwenda msalani utaongezeka!!!

Bibi huyo Jerrymsigwa mchoyo kama nini....kaninyima mie😑😑😑😑
 
Last edited by a moderator:
labda kama ana njia ya kuondoa gesi!@farkhina naomba upishi wa maharagwe kweli lile jukwaa letu kule

Wewe ukitaka yapungue gesi yaroweke overnight....alafu ukipika weka tangawizi na vyengine upendavyo....yanapungua sana gesi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…