Nani yuko macho tupige stori?

Jerrymsigwa itabidi tuitishe kikao cha dharura hapa kuna wanachama wanatakiwa kuvuliwa uanachama wao wamekuwa watoro sana hapa,mmoja wao@rugebwe78 hata huyu@bily anachungulia tu siku hizi

Nashukuru nimenusurika.......
 
Last edited by a moderator:
Ngongoseke nakuachia lindo. ila hakikisha nyama za kusaga zinapikwa na chai ya maziwa inachemshwa.cc King'asti
 
Last edited by a moderator:
My dear nlikuwa ninayo audio yake tu....asante
Kumbe na wewe huku upo...

Haya nigawieni no zenu pm niwatumie hayo makidosi yenu,kwa whataps ninayo kama mbu wa lindoni yamejaa,
 
Waaaoh basi mie saa hzi pole pole na B4U music naserebuka nao japo kihindi sikijui lol

Ahahahahaaah sasa kama hujui wakuwa wanakutukana je? Utakua wachekelea tuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…