Nani yuko macho tupige stori?

Mwenzangu ile uliniacha hoi. Sijaskia vitumbua vya kuku asilani.

lazma iwe bab nene. Watu wenyewe wanaolinda wameenda vidato, sio kina Da Sophy. Mlinzi ana ipad na hatumii radio vall, galaxy note 3 inamhusu.

Shosti vizuri sana vile....ila mna mayai huviwezi
 
Last edited by a moderator:
Olala mamma mia!!!! Kisa nini?halafu upo standby ulikuwa ukinisubiri nini?

Wewe acha kabisa nlikuwa nakodoa mijicho hapa nkuone watokea wapi vile,juzi ule mduara mwenzio sijalala nawaza lile sasambua lako tu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…