Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Mwenzangu ile uliniacha hoi. Sijaskia vitumbua vya kuku asilani.
lazma iwe bab nene. Watu wenyewe wanaolinda wameenda vidato, sio kina Da Sophy. Mlinzi ana ipad na hatumii radio vall, galaxy note 3 inamhusu.
Mtamponza mwenzenu aachwe na Paw
mi kilaza kweli!. nimeshindwa kusoma location kwenye profile yako!?. ngoja nidozi huu ni uzi wa watu wwa mbele.
billy yupo kwenye yale mataa yanabadilika rangi....
Mkuu farkhina week end ilikua fupi sana kama mkia wa mbuzi ila nawaaidi jumanne tutakua pamoja wape hai Ngongoseke mzee wa minara na Jerrymsigwa na wengineo.
Haya mkuu za kulala?
Wanga hao😛😛😛😛😛.....
Shoga angu makalele yale sijakusikia... nsamehe
Mambo vipi?
Mkuu farkhina week end ilikua fupi sana kama mkia wa mbuzi ila nawaaidi jumanne tutakua pamoja wape hai Ngongoseke mzee wa minara na Jerrymsigwa na wengineo.
hapa online 24/7Kipaji Halisi umeshalala?
eti ehhhhh!!!hapa online 24/7
Si umempiku valentina
Wengine mmeamkaje hapa? Jana yaliyonikuta ikabidi ntafute tu usingizi kwa udi na uvumbi...ila naona walinzi jana mlijitahidi,,,,