Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Ha ha ha umenichekesha wallahi!!!Halafu we nakuona wasinzia mdogomdogo hapo wajifanya unashindana na usingizi shaurizo utalala mpaka chooni mwe!!Hebu kalale bana!!

Nakwambia kama nimerogwa vile usingizi haupo mtihani hata nikija kuowa naona,hii kazi ya ulinzi haina maana kabisa,
 
kwahio time zako za kudoz ndo zimewadia??

Bado bado!! Dah ila nimekaa humu aisee toka jana sa7 usiku!! Ayayayaya sasa niwaage jamani panapo majaliwa keshooo. 💤💤💤
 
jamani ee, habari zenu! ndo mmenikomesha siku hizi mbili lol! yaani si utani, usingiz wenu wote mnaokesha umehamia kwangu! du! huu ni balaa tena si usingz.
 
Back
Top Bottom