Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Soul ama heart?
Heri za sikukuu bwana. Sijakuona kitambo, hongera kwa kufichwa

sasa mbona hujibu besti! watu wazima bana tuongelee pembeni ujue!

hebu fanya namna baridi ipungue, kiutu uzima zaidi!
 
Haya muda wakusali huu
Wale Wa Kwa paroko...twendeni...wale Wa Kwa pastor nkone muda ndio huu...wale Wa Kwa gwajima wote tukamuombe mungu....
Cc Smile. King'asti...na wengineo
 
Last edited by a moderator:
cf3e4f1d1a872fb5ae7e7e7b754c895c.jpg


cc.. Smile & mimi49!

like you buddies!
Ha ha ha pole kwa kuchelewa kujibu!Btw i hate nobody!
 
Back
Top Bottom