shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Sio huyo tupo wengi
hii thread karibu ibasti
Sio huyo tupo wengi
hii thread karibu ibasti
Hahahahahaha huwa zinabast? Afu we sikuoni kulee kwa topic zingine mbona!
aisee sikuwepo humu kama siku tatu nne hivi mambo mengi bwana familia siunajua tena
Sawa basi mie nikutakie siku ya mwisho ya 2013 njema sana kwako ma kwa uwapendao wooote, GBU!!
Happy New year 2014 walinzi wenzanguView attachment 129582haka kapicha ndio nimeweza kupiga vzr loh
Yes nawasubiria na hukoo mlipo, mnaukaribishaje huu twente fotiniNawe pia naona ushaauona mwenzetu
Happy New year 2014 walinzi wenzanguView attachment 129582haka kapicha ndio nimeweza kupiga vzr loh
Yes nawasubiria na hukoo mlipo, mnaukaribishaje huu twente fotini
Happy New year 2014 walinzi wenzanguView attachment 129582haka kapicha ndio nimeweza kupiga vzr loh
Jerrymsigwa bily@@farkhina Kipaji Halisi Rugebwe78@Jawilat valentine@King'asti Excel@binamuz nakupeni salam kwa wingi tuko pamoja,sijamsahau wakumtima @mimi49 na member wote wa hapa nimewamiss
Happynew year all
Walinzi wenzangu mnasubiria wapi mwaka mpyaa? Mi niko home na familia