Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Excel upo kwa malkia?

malkia wapi Smile!

amepeleka sembe india bana!

mi napigwa na baridi tu hapa nilipo!

kama vipi, chukua chance bana! ban ki moon si ashatusajili tayari!
 
Last edited by a moderator:
malkia wapi Smile!

amepeleka sembe india bana!

mi napigwa na baridi tu hapa nilipo!

kama vipi, chukua chance bana! ban ki moon si ashatusajili tayari!

Upo na boss lady?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu tena hapa? Au wote mwakoroma sasa?

kijana una mikwara wewe! haya bana!

chezea dogo huyu!

ed283e06e2aae128a48ba8493be7df91.jpg


noma!
 
Back
Top Bottom