Watu mpoooo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Miss you too sweetlove!mkweo mzima!Poa....nimekumis sana...
Mkwe wangu hajambo?
Miss you too sweetlove!mkweo mzima!
Watu mpoooo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
tupo mama mwenye nyumba. na mimi naomba formula ya kupika ugali na maji baridi.Watu mpoooo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tupo mamaaa madikodiko.nasikia una formula ya kupika ugali na maji baridi eti
Jamani ebu kujeni kipande hii niwaambieni jambo zito linaloulemea moyo wangu....
tupo mama mwenye nyumba. na mimi naomba formula ya kupika ugali na maji baridi.
Mekuja nambie😉😉😉😉
amu, Smile, farkhina, 'Valentina', Red Giant, @JERRYmsigwa Ngongoseke, mimi49 and rugwebe78.
jamani mwenye blanket please! yani snow inanidondokea mpaka basi! ni shida! feeling like drowning!
Polee....mie najifunikia viroba sijui nkugaie kimoja!🙄
amu, Smile, farkhina, 'Valentina', Red Giant, @jerrymsigwa, Ngongoseke, mimi49 and rugwebe78.
jamani mwenye blanket please! yani snow inanidondokea mpaka basi! ni shida! feeling like drowning!
Ebu waite na wengine mana sitarudia tena...
hebu ni-pm kimoja tafadhali! New Jerssey si salama kwa matumizi ya mwanadamu kwa sasa!!
Hhhahhahhh jamani😱😱😱🙄