Vipi tena ndio nini icho?
Kumbe hujui ee
Ah sijui shoga angu
Msharaha ntakutunzia mie sawa?🙄🙄
Duh...Boda Boda hatuna hiyo kitu..[/QUOTE
Hahaha umejitetea😛😛
Duh...Boda Boda hatuna hiyo kitu..[/QUOTE
Hahaha umejitetea😛😛
Hesabu Kwa bosi
Miss you too!Jerrymsigwa bily@@farkhina Kipaji Halisi Rugebwe78@Jawilat valentine@King'asti Excel@binamuz nakupeni salam kwa wingi tuko pamoja,sijamsahau wakumtima @mimi49 na member wote wa hapa nimewamiss
Jerrymsigwa bily@@farkhina Kipaji Halisi Rugebwe78@Jawilat valentine@King'asti Excel@binamuz nakupeni salam kwa wingi tuko pamoja,sijamsahau wakumtima @mimi49 na member wote wa hapa nimewamiss
Watu jambo nyote?
Watu jambo nyote?
bibie hulali weye