Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Sawa basi usiku mwema...ukiamka nitakupatia yaliyotokea leo dar
Subiri ntafute kuni niinjike mimaji imoto.....
Ila usimpe kazi ya kuuguza madonda mtoto wa watu....
Cc Lady doctor...
hivi sasa ni saa tisa na nusu usiku ndivyo saa yangu inavyo niambia
Hata najua basi...!? nilikuwa lindoni nikaamua nitoroke kidogo si nikajikuta huku.. worse enough nimekutana na my daughter huku ilihali nilidhani amelala home.
huja mboo baba yake 'Valentina'?
Rekebisha saa yako..mie yangu inaniambia saa saba kasoro
Umejuaje.....Rekebisha saa yako..mie yangu inaniambia saa saba kasoro
Mmh mke mwenza hiyo salamu kwa dadii yangu nina mashaka nayo...
Mwandiko wa kidakitari au?
vidonda atauguziwa huko alipovipata, mie akuuuuu sina muda huo ndio kwaanza nakunja nne!
Good morning....amkeni jamani
heeee kumbe nishaolewa.......:A S 13::shock:Mkuu hiyo laki 2 ningelipwa mbona ningeshakuja huko USA? Elfu 75 kwa mwezi nakula,Nina wake 2 mmoja yupo hapa hapa jukwaani anaitwa mimi49 mwingine mama chanja yuko masasi maisha yanakwenda
heeee kumbe nishaolewa.......:A S 13::shock:
heeee kumbe nishaolewa.......:A S 13::shock:
Ha ha ha ehhh kumbe sikujua ka ningemisiwa hivooo...haya ntamtafuta huyo watu8Hahahahahahaha hujijui lol...
Alafu watu8 anavokutafuta mie nshachoka kelele zake mara weee umenionea wapi huyu mtu mara nimmemiss.....
Nimemwambia kuna mtu anamzuzua ndio mana katubwaga na swimming hadi leo hajatupeleka...🙄🙄🙄
heeee kumbe nishaolewa.......:A S 13::shock:
Naombeni dua zenu jamani,afya yangu gafla imebadilika
Naombeni dua zenu jamani,afya yangu gafla imebadilika