Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

wadau nami nipo macho jamani sina hata usingizi.
 
pole mumii..mimi mwenyewe mgonjwa sana leo naelekea hospital,usiku mwema wapendwa your prayers please,

Pole mgonjwa mwenzangu,nami ndo nalala,i hope prayers ya wadau yatatuinua tena mana nahis kufakufa apa.
 
Leo apa pamepwayaaaa shosti zangu wanaumwa..n😱😱😱😱😱😱😱
 
Wale wagonjwa wanaendeleaje? Tunawaombea mpone haraka.
 
Back
Top Bottom