Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
hivi hajaacha tu hako katabia?
Aache wapi mwenzangu!!
hivi hajaacha tu hako katabia?
Lete kaifa na mm sina usingizi hapa afadhali Upo naww
habari zenu wapendwaaa!!!
habari zenu wapendwaaa!!!
habari zenu wapendwaaa!!!
Pouwaaaaaa
Safi....vp wewe
Maji hayatoki ah shida nyengine sasa
Aache wapi mwenzangu!!
Ongeza bidii ya kushughulika hadi yatatoka........ au unaongelea maji gani!??
Upo best
Nipo sana lete habari zaidi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Good morning....amkeni jamani
hivi sasa ni saa tisa na nusu usiku ndivyo saa yangu inavyo niambia
Hata najua basi...!? nilikuwa lindoni nikaamua nitoroke kidogo si nikajikuta huku.. worse enough nimekutana na my daughter huku ilihali nilidhani amelala home.
Itakua uko UK..bongo ni saa mbili na dakika 20
basi ngoja nimalizie usingizi wangu