Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

yani unaniita halafu tena unarudi kulala? hahahahaaaa!!!

mkuu unachekesha bana!!

haya msalimie sana Jawilat, farkhina, mimi49, 'Valentina' na Ngongoseke!

unajua sisi huku philadelphia, majira ni tofauti kabisa na nyie huko tz!

saa ngapi sasa hivi lakini?

Ahsante Mkuu tumekupata huku kwetu Liwale tunakesha na mbu tu,endelea kukamua Mkuu kwa Obama wacha nizichange hata 2025 nije japo kutoa gundu,
 
Last edited by a moderator:

life ni kokote mkuu!! wala hata usijali! wangapi wako bongo lakini maisha yso yako vizuri kuliko hata walioko philadelphia?

mambo yanabadilika sana wangu!
 
Wala hujakosea Mkuu,lakini kupanda ndege nako kibongo bongo heshima tosha,ntajitahidi nitimize ndoto zangu siku 1
 
piga buku kwanza mdogo wangu kama uko shule!

if not, then hustle hard.. america kuna inflation ajabu!

but still people make money!!

mshahara wako wa laki mbili kwa mwezi, wengine wanautengeneza kwa masaa nane tu!! hapo hamna extra time!!

but relax! things are going to be good one day!
 
Laki 2 saa8?? Ndio mana wanakuja huku kuomba vibarua vya kulima na kujiita 'back packers'. Thats too low wage
 
piga buku kwanza mdogo wangu kama uko shule!

if not, then hustle hard.. america kuna inflation ajabu!

but still people make money!!

mshahara wako wa laki mbili kwa mwezi, wengine wanautengeneza kwa masaa nane tu!! hapo hamna extra time!!

but relax! things are going to be good one day!

Mkuu hiyo laki 2 ningelipwa mbona ningeshakuja huko USA? Elfu 75 kwa mwezi nakula,Nina wake 2 mmoja yupo hapa hapa jukwaani anaitwa mimi49 mwingine mama chanja yuko masasi maisha yanakwenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom