Narudi after 2hrs.....
Ole wake atakae lala🙄🙄🙄
Maji hayatoki ah shida nyengine sasa
Zunguka kule nyuma unawe,na uhakikishe unanawa vizuri na sabuni...nakukumbusha mana we msahaulifu sana
Na visheti
Huyu mtu kasema anarudi, vp hujamuona? Au ndo ilikua good night ile?
Good morning, mzima?
Umeamshwaje?
Pancakes tayari?😉😉😉
Stimu za mirungi bado hazijaisha
Nalog off
Saivi saa ngapi? Leo nimejitahidi kukaa
Nikilala niamsheni
Huyo ni baada ya masaa mawl ndo atarudisha maguu apa...we kunywa kahawa hiyo endlea kumsubiri.
leo usingizi hausomeki kabisa
Unaenda kulala eeeeh
Umeanza mambo sako eeeh....na leo sijui nan atakufungulia geti. Mi sifungui ng'oo
Haya...naangalia dhoom 3