basi atapika mlenda..
Au ataweka ndimu kwa chai...
basi atapika mlenda..
Weeee tulikuwa bwenini tukakabwa hadi tukaamka na kuwasha taa..hujawahi kabwa wewe?
hata mie naona sasa jamani mi nageuka upande wa pili nafumba macho ili nilale kuna kazi inabidi niifanye earl in the morning si mnajua tena.
Hope nkifumba macho usingizi nitala ngoja nkashii kwanza.
Kama vipi baadae
Nimeingia home na nshatoka bafuni..foleni ya leo ilikuwa ni hatari tupu
hamna kama hicho hizo huwa ni hisia tu na hazijawahi kunipata,
wife umemkuta?
Nimeingia home na nshatoka bafuni..foleni ya leo ilikuwa ni hatari tupu
Au ataweka ndimu kwa chai...
Naomba niwe mgeni wako usiku wa boxing day...Yani wewe nawe!! Utakuaje na mgeni then uko busy na simu? Sina mgeni labda usiku wa xmas
He he heee ntatoa shukrani kwa kuanzisha Jf... Mweeeeeeeeeeeeee nishangae kikwetu mie
----KARIBU SANA----
Cc: .......
Haya mi sibishi huenda ni psychological issue
hii nlkua naweka kipindi nipo highschool et nisinenepe!😎
Dah aisee pole mkuu, foleni sa7 usiku? Park gari ukalale kuna gest bubu hapo kuanzia msikitini, rombo, baruti..dont risk kudrive night
wife umemkuta?
hii nlkua naweka kipindi nipo highschool et nisinenepe!😎
umeonaee!
Huyo ulioingia nae ndani ni nani?
Kavaa baibui kama mie😉😉😉😉
Eti ndimu inanyonya damu??
Huyo ulioingia nae ndani ni nani?
Kavaa baibui kama mie😉😉😉😉
mbona sijaingia na mtu? we umemwona nani?:smile-big:
Eti ndimu inanyonya damu??