Ntaanza kukuogopa
Hahahaha niogope ila Jaliwat na mie nchukue kwa Jerrymsigwa. .
Tupikie maharage kama yalee
Last edited by a moderator:
Ntaanza kukuogopa
sijaoa..
vipi wewe umeolewa?
Mtu mrefuuuu mweupe kavaa baibui huyo apo anakutizama...
ndiyo nmeolewa..
Afu huwezi amini ndio nayamalizia leo te te tee
Mie mama anafanya na warm water...kila asubuh
hahaha hapa nasikia
tu jogoo wanawika basi...
inasaidia nini?
na mume mmoja ama wawili?
eti jerry anasema ndo ameyamalizia sijui aliyafreeze!
Anafanya kukonda...
nikija kunenepa ntatumia na mie..
eti jerry anasema ndo ameyamalizia sijui aliyafreeze!
na mume mmoja ama wawili?
mmoja tu.
Kaka Jerrymsigwa siku nyengine uje kula huku tumtie hasara shemegi yako lol...
Kaka Jerrymsigwa siku nyengine uje kula huku tumtie hasara shemegi yako lol...