Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Hahahahahhah leo umeamua kunizodoa....najuaje mie mambo hayo😱😱😱😱😱
We unajua misosi ya kupikia "top plate cooker" tu? Na hii ya kupikia kuni poa tusaidie ss wengine tuko bush
Hahahahahhah leo umeamua kunizodoa....najuaje mie mambo hayo😱😱😱😱😱
mimi49 where are u tonight?poa....mzima wewe?
nipo kwenye foleni.
ubungo to kibaha. niko hapa rombo sasa, leteni habari!
We unajua misosi ya kupikia "top plate cooker" tu? Na hii ya kupikia kuni poa tusaidie ss wengine tuko bush
Foleni mda huu😱😱😱😱
nipo my dia...niambie!mimi49 where are u tonight?
toka saa tano usiku. hadi saa hivi hata kimara baruti sijafika. noma noma.
feel like kuliacha gari hapa.
nipo my dia...niambie!
Ya karanga hayo tehetehe
Hao wenzio sio watu...acha gari kimbia🙄🙄🙄🙄
Hao wenzio sio watu...acha gari kimbia🙄🙄🙄🙄
kuna mlori hapa umeharibika. unatoka naendelea na safari..
nipo my dia...niambie!
kuna mlori hapa umeharibika. unatoka naendelea na safari..
hata ule wa unga?
nipo kwenye foleni.
ubungo to kibaha. niko hapa rombo sasa, leteni habari!
Uchovu unaniandama b shost....