Umenichekesha aisee wewe
Cheka wee ila nakuweka kwenye shea hadi tumfilisi...
Umenichekesha aisee wewe
Ukiwa tayari nambie ipo moja nzuri sana wiki 2 wapungua...dada yangu imemsaidia
mweusi ama mweupe?
nimemuogopa Jerry siku tunaenda kwake itabidi tukapike wenyewe..
niambie tu niitunze..
Hamna tabu mie ntapika...weye utatulia juu ya sofa na remote tunakupa wewe.
Hamna tabu mie ntapika...weye utatulia juu ya sofa na remote tunakupa wewe.
alitaka niende peke yangu!!!
Mi nataka aje Jawilat basi
Google cabbage soup diet...
Pouwa miniko macho nipestory
ila mie napenda katuni,mtaangalia?
Chukua sit yangu mkuu, nataka nitoke humu sasa. Ila hakikisha unafika hadi asubuhi sa1 bila kulala
Ah tutaweka kama hizi mie ntapika vyakula hata mia...na tutawapekea na majirani pia
http://m.youtube.com/watch?v=_XXRn-27T7A
Haya eti siji ntaenda kuzura zangu....
Ila naniliu ntamwambia hadi uninunulie big G...🙄🙄🙄