mambo vip?
Poa hujambo mpenzi?
mambo vip?
kwi kwi acha kumtisha mwendhio
farkhina, hizo shkamoo zinatolewa kwa ubaguz?
Heee kumbe? Basi ukimix na kupika hope ni powa sana yani kama bila kupika ni vile hahahhaaha basi naungana na amu kuusifia though sjawahi onja wa hivyo
Poa hujambo mpenzi?
wee si ulikua unatafuta mzuka wa kula maharagwe ya Mazengo??
Shkamoo kaka....
Kapita nadhani ameshalala
kwi kwi acha kumtisha mwendhio
wee si ulikua unatafuta mzuka wa kula maharagwe ya Mazengo??
Ahhahhahaha vyote hivo nataka kujaribu kula....
hahahaaaa umenkumbusha mbali sana,unaitwa NDALU!
eti wewe ndo incharge wa walinzi humu ndani?
kulikoni leo wansalimia x2?...haya tupike donuts na mlenda pamoja na chai!
Ndalu? Ni jina la huo mlenda? Ha ha haaaa
Hujakosea amu hapa tunakaribisha wote walionuniwa usiku, wenye stress za kukosa usingizi nk..mpaka kunakucha
Lakini kwani vinatofauti na bamia? Si ndio mlenda wa kimjini kwa akina farkhina
nimecheka hapa huo wakwenu wa kuchanganya na maji tu.
Jamani shule tumekula vitu vingi sana nakumbuka na mie shule nilikuwa nakula maboronganya ya kuponda ponda yamechemshwa mabayaaa،
watu nuo mlenda mtamu sana i wish siku uwepo bibi yangu akupikie as yeye mgogo haswa unakuwa mtamu balaa.
Cc Kaizer