Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Mie ntapika hizo donuts...
Nsije pika uji wa mlenda mkanicheka bure😱😱😱😱😱
haya mie ntapika chai Ngongoseke atatupikia mlenda..
Last edited by a moderator:
Mie ntapika hizo donuts...
Nsije pika uji wa mlenda mkanicheka bure😱😱😱😱😱
huo mlenda wa bamia ushanshinda hauna ladha unasaidia ugali kuteleza tu.
yaani huku sijui kuna wanga ikifika saa 6 au 7 usingizi mpaka saa kumi.Ngoja nikemee
huo mlenda wa bamia ushanshinda hauna ladha unasaidia ugali kuteleza tu.
incharge ni Jerrymsigwa..
incharge ni Jerrymsigwa..
Hhahaahahh hao waluonuniwa....nimechekaaa
Ha ha haaaa hakuna shida niite Mwenyekiti au vyovyote tunaongeza maisha tu hapa badala ya kuwa na mawazo ya watu hao hao job/home
yaani huku sijui kuna wanga ikifika saa 6 au 7 usingizi mpaka saa kumi.Ngoja nikemee
hata mie naona sasa jamani mi nageuka upande wa pili nafumba macho ili nilale kuna kazi inabidi niifanye earl in the morning si mnajua tena.
Hope nkifumba macho usingizi nitala ngoja nkashii kwanza.
Kama vipi baadae
Dah afu tanesco wawe wamefanya yao..pole sana aisee! Mie nlishawahi kabwa nlipokuwa hukoo Mbeya sitasahau ilikuwa Jmosi usiku km leo
Leo huna mgeni? Maana wewe ukiwa na mgeni wasahau kibarua lol...
Mie mchokozi🙄🙄🙄🙄
Ataiunguza chai huyo😛😛😛😛😛😛
ukiwa muoga ni tatizo...
Yani wewe nawe!! Utakuaje na mgeni then uko busy na simu? Sina mgeni labda usiku wa xmas
usicheke wengine wamelala mdhungu wa nne humu ndani!!!