Nani shujaa wa JF kwa mwaka 2012-2013?

Nani shujaa wa JF kwa mwaka 2012-2013?

Che-lee

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
318
Reaction score
88
Mwana jf yeyote aliyeleta mchango mkubwa hapa jf na kukufanya uipende zaidi JF.

Mfano:

1) Maxence Mello
2) Mzee Mwanakijiji
3) Ben Saanane
4) Yericko Nyerere
5) Matola

Hao ni mfano tu, sasa wewe waweza kuchagua Mwana jf yoyote unaeona anastahili kuwa SHUJAA wa mwaka.

Vigezo muhimu hapa ni mtu yeyote aliyekuwa kivutio kwako kwa kutoa habari ZENYE kuelimisha na kuamsha hisia za mwana JF.

Kwa ujumla ni mtu yeyote aliyekufanya usikose kuingia JF kwa mwaka 2012 kwa habari zake zenye manufaa kwa taifa na watu wake.

Mtu yeyote aliyejenga hoja thabiti na akavuta hisia za wana JF.

Karibuni wadau!
 
Shujaa kwa kigezo kipi? Manake hii iko very subjective mkuu!
 
In a way nakubaliana na selection yako thou wapo wengi saaana ambao kila mmoja anacheza nafasi yake kwa njia moja ama nyingine kwa kuwepo hapa Jf. Sijajua ni vigezo gani unatumia kusema ama kujua kuwa member ni GT ama lah...

Mimi ni mdau mkubwa wa MMU... Kabla hatuja report hii post, tafadhali rekebisha ama toa vigezo vya wewe kudhania kuwa MMU hakuna GT. Kuna majukwaa mengi sana hapa Jf; of all jukwaas you had to choose MMU... Tafadhali naomba vigezo kama hutajali...
 
naomba uambatanishe na vigezo, ushujaa upi walioufanya , hapo ndio tutakuwa huru kuchagua
 
In a way nakubaliana na selection yako thou wapo wengi saaana ambao kila mmoja anacheza nafasi yake kwa njia moja ama nyingine kwa kuwepo hapa Jf. Sijajua ni vigezo gani unatumia kusema ama kujua kuwa member ni GT ama lah...

Mimi ni mdau mkubwa wa MMU... Kabla hatuja report hii post, tafadhali rekebisha ama toa vigezo vya wewe kudhania kuwa MMU hakuna GT. Kuna majukwaa mengi sana hapa Jf; of all jukwaas you had to choose MMU... Tafadhali naomba vigezo kama hutajali...

Sikubaliani na mleta mada hapa.MMU sijui ni kwa nini idharaulike.Mimi na Mwanakijiji ni members MMU sasa inakuaje unatuweka kwenye vigezo vingine huku akiidharau MMU?MMU ni hobbie,ni issue ya kisaikolojia na kibailojia.Ni social

Hapa ni sawa na kusema wapenda mpira au Mziki hawawezi kuwa GT.Mleta mada kaanzishe thread kule MMu waombe msamaha.Merry Christmass!
 
Mmu ndo nin kaka mh
 
Asante Ben... Afadhali umeliongelea pia hasa bahati nzuri ni mmoja ya watu anao wakubali kwa kiasi kikubwa ataelewa na kulikubali pia. Nafurahi thou kuona mkuu Che-lee kafuta kauli yake... (Inaonekana ni muelewa ) Maelezo katika post hii ya kwako itakuwa moja ya manufaa kwake kuweza elewa zaidi masuala ya MMU. Sijajua ni kwa nini members wengi hui judge kwa jina na si kwa content na michango ya wadau.

Mkuu Lee... Nakushauri tembelea hii thread ipo MMU... Utaipenda sababu ipo sawa kabisa na bandiko lako hili. Nakupa list yangu kwa link hii... https://www.jamiiforums.com/mahusia...aliobadilisha-maisha-yangu-3.html#post5036619

Ben na Che-Lee.... Heri ya X-mas wakuu... Na may 2013 iwe one of the best katka maisha yenu.

Pamoja saana.
 
Last edited by a moderator:
In a way nakubaliana na selection yako thou wapo wengi saaana ambao kila mmoja anacheza nafasi yake kwa njia moja ama nyingine kwa kuwepo hapa Jf. Sijajua ni vigezo gani unatumia kusema ama kujua kuwa member ni GT ama lah...

Mimi ni mdau mkubwa wa MMU... Kabla hatuja report hii post, tafadhali rekebisha ama toa vigezo vya wewe kudhania kuwa MMU hakuna GT. Kuna majukwaa mengi sana hapa Jf; of all jukwaas you had to choose MMU... Tafadhali naomba vigezo kama hutajali...

Sikubaliani na mleta mada hapa.MMU sijui ni kwa nini idharaulike.Mimi na Mwanakijiji ni members MMU sasa inakuaje unatuweka kwenye vigezo vingine huku akiidharau MMU?MMU ni hobbie,ni issue ya kisaikolojia na kibailojia.Ni social

Hapa ni sawa na kusema wapenda mpira au Mziki hawawezi kuwa GT.Mleta mada kaanzishe thread kule MMu waombe msamaha.Merry Christmass!

Wapendwa AshaDii na Ben Saanane, ni wapi mtoa mada alipoisema MMU kuwa si ma GT?

Au inahusiana na hii...

Last edited by Che-lee; Today at 14:25.

kama kwa namna yoyote ile alileta dharau kwa MMU basi naye zitakuwa hazimtoshi kiaina kumkichwa. Kuna watu huwa wanaamini ili uwe GT then ni lazima uwe shujaa wa kutengeneza hoja, kubwabwaja na kutukanana kwenye Jukwaa la Siasa. Huwa nawashangaa sana.

Anyway, nawatakieni nyote heri ya Noeli.:mwaaah:
Mwana jf yeyote aliyeleta mchango mkubwa hapa jf na kukufanya uipende zaidi JF.

Mfano:

1) Maxence Mello
2) Mzee Mwanakijiji
3) Ben Saanane
4) Yericko Nyerere
5) Matola

Hao ni mfano tu, sasa wewe waweza kuchagua Mwana jf yoyote unaeona anastahili kuwa SHUJAA wa mwaka.

Vigezo muhimu hapa ni mtu yeyote aliyekuwa kivutio kwako kwa kutoa habari ZENYE kuelimisha na kuamsha hisia za mwana JF.

Kwa ujumla ni mtu yeyote aliyekufanya usikose kuingia JF kwa mwaka 2012 kwa habari zake zenye manufaa kwa taifa na watu wake.

Mtu yeyote aliyejenga hoja thabiti na akavuta hisia za wana JF.

Karibuni wadau!
 
Mbona hujawataja akina ritz, ilhali nao mchango wao katika kuchangia mada mbalimbali hapa jf ni mkubwa? Mathalani katika jukwaa la siasa? Ingawa mm binafsi sipendi mitazamo yake, lakini kwakuwa jf ina watu wa aina mbali mbali najua wako wanaomkubali!
 
Wapendwa AshaDii na Ben Saanane, ni wapi mtoa mada alipoisema MMU kuwa si ma GT?

Au inahusiana na hii...

Last edited by Che-lee; Today at 14:25.

Anyway, nawatakieni nyote heri ya Noeli.:mwaaah:

Inahusiana na hapo in blue... Hio blue imenifurahisha, tayari Lee kakiri in a way kuwa kakosea. Kwa hilo nampongeza na kumshukuru.
 
Mbona hujawataja akina ritz, ilhali nao mchango wao katika kuchangia mada mbalimbali hapa jf ni mkubwa? Mathalani katika jukwaa la siasa? Ingawa mm binafsi sipendi mitazamo yake, lakini kwakuwa jf ina watu wa aina mbali mbali najua wako wanaomkubali!

Mkuu Mchaka Mchaka kuna haja ya kulalamika kweli? Yeye kataja hao wake... Members ni wengi saana Jf; hivo hata wewe unaweza taja list ambayo inakukosha ikiwa pamoja na huyo Ritz . Ukifuata kuuliza mbona flani hajatajwa mbona mtihani, ni wengi sana wapo... Sawa na mimi nikuambie mbona hujamtetea zomba ihali ana mchango mkubwa pia?

Kwa urahisi unfanya kama alivyofanya SN.BARRY kwa kuwakubali woote pamoja ya yeye mwenyewe... Lol.

Heri ya xmass mkuu.
 
Mie nakukubali weye shem wangu wa Ukweli AshaDii.
 
Last edited by a moderator:
Naona mnyukano umeanza tena,haya mleta mada,watu wanataka vigezo ulivyotumia ili ueleweke vyema.
 
Back
Top Bottom