- Thread starter
- #21
Naumiza kichwa kwa watu hawa wawili nani awe shujaa wangu?,
Ben Saanane aliyefanya kazi ya ushushu kwenye Masalia,
Yericko Nyerere, alionyesha msimamo wa wazi na kumpinga kiongozi wa Masalia Prezoo au Zitto, alifanya kazi ya ziada kuwashauri Chadema kuchukua hatu ingawa sisi hapa tulimtukana na kejeli juu,
Vilevile uwezo wake wakulipoti kesi ya Mnyika, na kesi ya Lema mara mbili.
Naumiza kichwa hapa nimchague shujaa wangu wa mwaka 2012, Yericko Nyerere na Ben Saanane kama hamjaoa mjiandae mmoja wenu nampa zawadi ya kunioa!