Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

Mkuchika - Kwa kukwepa Zigo lake badala yake wakabebeshwa wengine!
 
Zitto Zuberi Kabwe Kachukua headlines kwa kipindi kirefu kijana bado yuko juu,wenine huibukaibuka kwa msimu lakin kijana mwaka mzima kaufunika akilitumikia taifa kwa uadilifu.Had Chama chake kumuonea wivu kijana Kipenzi cha wengi
 
Back
Top Bottom