Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

Godbless Lema,kiukweli huyu jamaa mwaka huu kapitia matatizo makubwa sana ,na mwisho wa siku amewashinda maadui zake.All the best Lema 2014
 
Ujaweka Vigezo!ila kwangu Mwasiasa Bora kwa mwaka huu
jakaya Mrisho Khalfani Kikwete
Ametunguliza nchi mbele kuliko ubinafs,amekutana na wapinzani kujadili kuhusu nchi,hana dharau kwa watanzania
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom